Sheria

Uwamahoro achiwa kwa muda

Uwamahoro Violette, mnyarwanda anaye uraia wa Uingereza achiwa kwa muda na mahakama ya Gasabo. Mahakama ya Gasabo ameamua kuchiwa kwa muda kwa...

Evode Imena achiwa kwa dhamana

Mahakama ya juu mjini Kigali imeamuru kuachiwa kwa dhamana kwa aliyekuwa katibu wa serikali wa migodi Bw Evode Imena nchini Rwanda. Imena...

Evode Imena ametiwa nguvuni

Bw Evode Imena aliyekuwa katibu wa serikali katika wizara ya ardhi, misitu na maliasili ametiwa nguvuni pamoja na watu wengine wasiofahamika...

Kanuma afungwa siku 30 gerezani

Mwanahabari, pia mmiliki wa gazeti la Rwanda Focus Bw Shyaka Kanuma amefungwa siku 30 gerezani kabla ya kumfungulia mashtaka kwa kina. Shyaka...

0 | 14 | 28 | 42 | 56 | 70 | 84 | 98