Muuza bangi atiwa nguvuni Wilayani Nyamagabe.

Polisi ya mkoani Nyamagabe, Kusini mwa Rwanda imetangaza kumkata Bwana Ntakirutimana Emmanuel kwa dhambi la kuvuta na kuuzaa madawa ya kulevya aina Bangi tarehe 10 mwezi wa saba.

Msemaji wa polisi mkoani humo ameviambia vyombo vya habari kwamaba mhalifu huyo amekamatwa kwa ushirikiano mzito unaokuwepo kati ya Polisi na raia.

Inspekta wa Polisi Emmanuel Kayigi ameshukuru yeyote aliyechangia msaada wake kwa kumkamata muuza bangi huyo na alishawishi yeyote anayefikiria kuuza madwa ya kulevya kuachana na biashara hiyo kwani haina manufaa.

Sheria inasema kwamba yeyote anayekutwa na hatia ya kuvuta na kuuza madawa ya kyulevya huhukumiwa kifungo cha mwaka mmoja hadi mitano na dhahabu ya Rwf 50.000 hadi Rwf 500.000.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments