Ngege ya RwandAir imeanza kupaa anga kwenda Mumbai

Katika usiku wa manane, ndege mpya aina ya Boeing 737-800 ya shirika la ndege la RwandAir ndipo imevamia anga kwenda Mumbai nchini Uhindi kwa mara ya kwanza ikibeba abiria zaidi ya themanini.

Ndege hito inatarajiwa kufanya safari ya moja kwa moja kwenda Mumbai bila kupita nchini nyingine hatua ambayo inatarajiwa kupungua muda wa kuotezea katika ndege kutoka masaa kumi na moja hadi saba.

Kiongozi wa idara ya biashara ameiambia vyombo vya habari kwamba hii ni hatua ya kujivunia ambayo itakuwa njia mbadala ya kuunganisha wanyarwanda na wahindi kibiashara na ushirikiano kwa bei nafuu.

Ndege hii aina ya Boeing inaruka kwelekea Uhindi baada ya siku chache RwandAir kutangaza kufungua safari nyingine kwelekea Uingereza Mwezi Machi mwaka huu.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments