Baadhi ya wafungwa katika gereza la Kimironko wameandamana

Leo hii asubuhi Wafungwa kati ya 50 na 100 wa gereza La kimoronko lililoko katika Wilaya ya Gasabo, jijini Kigali wameamkia katika maandamano.

Akiongea na Makuruki.rwa, Msemaji wa idara ya magereza SIP Hilary Semigabo amethibitisha kwamba wafungwa kati ya 50 na 100 wameamka wakiandamana kwa sababu ya roho mbaya tu.

Hawa wafungwa wanaandamana baada ya siku chache Gereza ya Kimoronko kuwaka moto ijumaa iliyopita na wafungwa saba wakajeruhiwa.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments