Waziri mkuu apokea viapo vya wendesha mashtaka wa mahakama ya kijeshi.

Kuanzia kushoto, Capt Vincent Ndayisaba, Capt. Christian Kayitare, Waziri mkuu, Anastaze Murekezi na Luteni Claudine Muhawenimana

Jana katika ofisi ya waziri mkuu, Anastase Murekezi amepokea viapo vya wendesha mastaka wapya wa mahakama ya kijeshi.

Waziri mkuu aliwaomba kufanya kazi kikamilifu na kuzingatia maadili ya majeshi ya Rwanda.

Wendesha mashtaka ambao walikura kiapo ni Luteni Claudine Muhawenimana, Capt. Christian Kayitare na Capt. Vincent Ndayisaba.

Hii sherehe ilihudhuriwa na viongozi wakuu wa kijeshi wakiwemo waziri wa ulinzi, Jenerali James Kabarebe, mkuu wa majeshi ya Rwanda, Jenerali Patrick Nyamvumba.

Viongozi mbalimbali wakiwemo Jenerali James Kabarebe, Jenerali Patrick Nyamvumba, Waziri Stella Ford Mugabo na Bw Evode Uwizeyimana walihudhuria sherehe hiyo.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments