Uwamahoro achiwa kwa muda

Uwamahoro Violette, mnyarwanda anaye uraia wa Uingereza achiwa kwa muda na mahakama ya Gasabo.

Mahakama ya Gasabo ameamua kuchiwa kwa muda kwa Uwamahoro violette anayekabiliwa na mashtaka ya kutaka kuangusha uongozi wa Rais Paul Kagame na kuunda kundi la magenge wenye silaha.

Hata hivyo Mahakama imeamua kumweka jela siku thelathini Shumbusho Jean Pierre ambaye ni binamu wa Violette kabla kesi yao kuanza kwa kina.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments