Mkuu wa Benki ya Dunia anasubiriwa nchini Rwanda.

Mkuu wa Benki ya Dunia, Bw Kim Yong Kim anasubiriwa nchini Rwanda katika ziara ya siku mbili rasmi .

Bw Kim atatua uwanjani wa ndege wa Kigali kwenye majira ya mchana, leo hii kutoka nchni jirani ya Tanzania.

Nchini Rwanda, yeye anatarajiwa kuzuru eneo la viwanda jijini Kigali, mradi wa ndege zisizo rubani za Zipline wilayani Muhanga, ICT Innovation centre na kukutana na Rais Paul Kagame.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments