Kabumbu : Kocha mkuu wa timu ya taifa kuanza kazi jumatatu

Mjerumani aliyeteuliwa kuwa kocha mkuu wa timu ya kabumbu ya taifa ‘’Amavubi stars’’, amefika nchini Rwanda jana kwenye majira ya 19:30 kwa ajili ya kuweka saini kwenye mkataba wa miaka mitatu na kujiandaa kuanza kazi jumatatu ijayo.

Antoine Hey ametua uwanjani wa kimataifa wa ndege jana Alhamisi katika majira ya jioni ambapo alipokewa na Bony Mugabe ambaye ni msimamizi wa mawasiliano katika shirika la soka nchini Rwanda ‘’FERWAFA’’

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments