Uganda : Msemaji wa jeshi la polisi Andrew Kaweesi auawa

Msemaji wa jeshi la polisi la Uganda Felix Andrew Kaweesi auawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana nje ya nyumba yake iliyoko Kulambiro jijini Kampala leo asubuhi ; vyombo vya habari vimeripoti.

Chimpreports linaandika kwamba Kaweese, dereva wake na mlinzi wake wamepoteza maisha kutokana na hiki kisa cha mauaji.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments