Rais Paul Kagame awasili Uchina.

Rais Paul Kagame alipokewa kwa shada la maua

Rais Paul Kagame akiwa na mkewe Jeannette amesha wasili nchini Uchina katika ziara ya siku mbili rasmi ; ikulu ya Rwanda imetwiti.

Nchini humo, Rais Paul Kagame anatarajia kukutana na mwenzake Xi Jinping wa Uchina.

Rais Kagame amezuru Uchina baada ya mwezi huo mwaka jana mkuu wa bunge la Uchina Mhe. Zhang Dejiang kutembela Rwanda na kuweka jiwe la msingi kwenye jengo itakayo kuwa ofisi ya wizara nne zikiwemo Ofisi ya waziri mkuu.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments