Charly na Nina wajiondoa katika mashindano ya Primus Guma Guma 2017

Kundi la waimbaji wa ‘indoro na face to face’’, Charly na Nina wamejiondoa katika mbio za kuwania tuzo ya PGGSS season 7 kwa sababu ya walichoita kuwa b’ze wakati wa mashindano.

Taarifa iliyotolewa na Decent Entertainment ya meneja wao Alexis Muyoboke imesema kuwa wao hawana muda wa kushiriki PGGSS kwani wao watakuwa na kazi nyingine.

Na moja kwa moja nafasi yao imechukuliwa Queen Cha aliyekuwa namba mbili kwenye vikaratasi vya uchaguzi.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments