FIFA Rankings : Rwanda yapanda juu.

Kwenye viwango vya shrika la kabumbu Dunian FIFA vilivyotolewa hii alhamisi iliyopita Rwanda imepanda juu hadi nafasi ya 93 kutoka kwenye nafasi ya 100 mwezi jana.

Katika ukanda wa afrika mashariki, Uganda inaongoza , Kenya, Rwanda na Burundi ndo imeshika mkia.

Rwanda imechukua nafasi hii baada ya siku chahce ikimuteua Mjerumani Antoine Hey Kuwa kocha mkuu.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments