Rayon sports kumenyana na onze createurs katika hii wikendi

Jana ndipo Rayon Sports ilipochukua ndege kwelekea nchini Mali kwa kucheza dhidi ya Onze createurs katika kombe la shirikisho (CAF CONFEDERATION CUP).

Kocha Masoudi Djuma aliambia wana habari kwamba yeye na wachezaji wao hawana uoga, yeye amesisitiza kuwa wanakwenda nchini Mali wakiwa na lengo moja la kushmbulia tu.

Djuma amesema kwamba anaamini washambuliaji wawili wake raia wa Mali. Katika huu mzunguko, Rayon inacheza na Onze Creayeurs baada ya kuichakaza Al wau salaam ya Sudani kusini mabao sita kwa sahani.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments