Sikukuu ya mashujaa, Rais Paul Kagame atoa ujumbe

Jana, tarehe mosi mwezi Februari imekuwa sikukuu ya mashujaa nchini Rwanda.
Kwa kutoa heshima kwa waliojitolea mhanga kwa kukomboa nchi, Rais Paul Kagame ameweka shada la maua kwenye makaburi yao yaliyopo Remera, mjini Kigali.

Akitumia ukurasa wake wa Twitter, Rais Kagame amesema kwamba Rwanda haiwezi kusahau watu walioweka maisha yao hatarini kwa kukomboa nchi.

“tunawapigia chapuo hao wate waliojitolea mhanga kwa kutetea thamani kubwa ya Wanyarwanda, wao ni mfano usiosahaulika.’’ Paul Kagame amiandika kwenye Twitter.

Sikukuu ya mashujaa ilisherehekewa chini ya mada “ushujaa ni kuchukua uamuzi unaohitajika.’’

Twiti ya Rais Paul Kagame

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments