APR FC yaibuka mshindi wa kombe la sikukuu ya mashujaa

APR FC imeibuka mshindi kwenye mchezo wa mahasimu wa kihistoria baada ya kuipachipika Rayon Sports bao moja kwa sahani. Hili ni goli lililofungwa na Rugwiro Helve kunako dakika ya tisa ya mchezo.

Huu ni mchezo wa tatu mfululizo APR FC kumchapa viboko mhasimu wake. Mshindi amepewa fedha Rwf 3 milioni na Rayon imepewa Rwf 1.5 milioni.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments