Rwanda inasherehekea sikukuu ya mashujaa

Leo, tarehe mosi,februari, kila mwaka Rwanda husherehekea sikukuu ya mashujaa ambayo inasherehekewa vijijini.

Kampeni zilifanywa nchini kote kwa kukumbushana uzalendo. Hii sikukuu ya mashujaa inasherehekewa chini ya mada ‘’ushujaa ni kuchukua uamuzi unaohitajika’’.

Deo Nkusi, katibu mtendaji wa Chancellery for Heroes, National Orders and Decorations of Honour (Cheno), amesema kwamba huu ni wakati wa kutafakari na kutoa vipaumbele vinavyohitajika kwa ajili ya kujijengea taifa la siku za usoni.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments