Rais Conde achukua urais AU

Rais wa Guinea Mhe. Alpha Conde amechaguliwa kuwa rais wa jumuiya ya Afrika kwa muhula wa mwaka mmoja tu akichukua nafasi iliyokaliwa na Rais Idriss Deby Itno wa Tchad.

Conde amechaguliwa na wenzake kuchukua nyadhifa hii katika mkutano mkuu wa umoja wa Afrika unaofanyika mjini Addiss Abbaba, Ethiopia kwenye makao makuu ya AU.

Alpha Conde ndiye aliyesaidia pakubwa kwa mzozoz wa kisiasa kutatua uliomalizika mapema nchini Gambia na kumpa hifadhi rais wa zamani wa nchi hiyo Bw Yahya Jammeh .

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments