Picha ya kushangaza

Afisa wa usalama wa mtaani alifanya umuganda akibeba bunduki yake.

Picha hizi zilipigwa jumamosi wilayani Gasabo mwezi Januari,28,2017 wakati wa kufanya umuganda ambapo polisi alisimamisha wendesha magari na akawata wamsaidie kufanya hii hatua ya kijamii.

Picha hii imezua gumzo mtandaoni

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments