Beauty for Ashes kuachia albamu mpya

Wakiwa nchni Kenya, Beauty for ashes walikutana na kundi la sauti sol

Kundi la waimbaji wa injili Beauty for ashes limetangaza kwamba wameanza maandalizi ya kuachia albamu yao mpya ambayo itakuwa nyimbo zenye mchanganyiko wa mdundo wa Rock music na wa Kiafrika.

Kavutse Olivier, kiongozi wa kundi, ameambia mwanahabari wetu kwamba mwaka huu wanalenga kujenga umaarufu wa kuwa waimbaji bora wa nyimbo za injili katika ukanda wa Afrika mashariki.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments