Mwaka jana umekuwa mzuri kidiplomasia kwa Rwanda- Waziri Mushikiwabo

Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano nchini Rwanda, Bi Louise Mushikiwabo.

Waziri Mushikiwabo amesema hayo jana katika sherehe ya chakula cha pamoja kilichojumuisha Rais Paul Kagame na wanadiplomasia kadhaa wanaowakilisha mataifa yao nchini Rwanda.

Mushikiwabo amesema kwamba mwaka wa 2016 , Rwanda inajivunia kuwa ilipokea zaidi ya wanadiplomasia 20 waliokuja kwa kusimamia maslahi ya nchi zao kwenye ardhi ya Rwanda.

Na aliongeza kuwa mwaka huu duniani lilitokea wazo la nchi kujikita pekee yaee lakini Waziri huyo alisema kwamba Rwanda inakupa kipaumbele uhusiano na mataifa mengine.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments