Padri Nahimana anasubiriwa nchini Rwanda leo hii.

Padri Thomas Nahimana Thomas aliyetangaza kushiriki uchaguzi urais, anasubiriwa kuwasili nchini Rwanda siku hii ya jumatatu mwezi Januari, 23, 2017.

Taarifa iliyotolewa na chama chake ‘’Ishema Party’’ husema kwamba Nahimana akiwa pamoja wenzake wanatarajia kutua uwanjani wa ndege wa Kanombe jioni hii saa moja na dakika 20.

Uchaguzi urais nchini Rwanda, unatarajiwa kufanyika mwezi Agosti mwaka huu wa 2017, mpaka Dkt Frank Habinama habineza wa chama cha Democratic Green Party na Philipe Mpayimana (mgombea huru) ndo wagombea wa upinzani waliotangaza kuchuana na Rais Paul Kagame anayekalia ofisi tangu 2000.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments