Kanimba aapishwa kuwa msimamizi wa maslahi ya Rwanda katika EALA

Mwezi huu, 18, 2017, Waziri wa viwanda, biashara na shughuli za jumuiya ya Afrika Mashariki nchini Rwanda, MINEACOM,amekula kiapo kwa kuwa msimamizi wa maslahi ya Rwanda bungeni la jumuiya ya Afrika Mashariki EALA.

Kanimba Francois mwenye status ya EX-Officio atakuwa mnyarwanda namba tatu anayewakilisha maslahi ya Rwanda katika bunge hilo la EAC.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments