Wadau wa michezo 300 kushiriki National Itorero

Bugingo Emmanuel, msimazi wa michezo katika MINISPOC

Wadau na Viongozi wa mashirika ya michezo 300 nchini Rwanda wanatarajia kuhudhuria Nationala Itorero ambalo linatarajia kuanza mwezi huu, 19 hadi 29,2017.

Bugingo Emmanuel ambaye ni mjibika wa michezo katika wizara ya michezo na utamaduni amesema kuwa hii itakuwa fursa muhimu ya kujumuisha pamoja wadau wa michezo ili kuchukua mtazamo mmoja wa kuiendeleza michezo nchini Rwanda.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments