Kanuma afungwa siku 30 gerezani

Mwanahabari, pia mmiliki wa gazeti la Rwanda Focus Bw Shyaka Kanuma amefungwa siku 30 gerezani kabla ya kumfungulia mashtaka kwa kina.

Shyaka Kanuma alikamatwa mwishoni mwa mwaka jana akidaiwa udanganyifu na kukwepa kulipa kodi sawa na Rwf 65 256 289.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments