Rwanda yapiga marufuku biashara ya kuku na yai kutoka Uganda

Wizara ya kilimo na ufugaji imatangaza kupigwa marufuku kwa biashara ya ndege na yai kutoka nchini jirani ya Uganda kwa ajili ya kujingia kuambukizwa homa ya ndege iliyogunduliwa nchini humo majuzi.

Taarifa iliyotolewa na hii wizara inasema kwamba Rwanda imechukua uamuzi wa kupiga uuzaji wa ndege na yai kwa kuzuia kuwepo kwa ugonjwa huo nchini Rwanda.

kwa sababu ya homa ya ndege iliyogunduliwa nchini humo majuzi.
Geraldine Mukeshimana, waziri wa kilimo na mifugo nchini Rwanda ametoa wito wanyarwanda kuhakikish kuwa ugonjwa huo hauingii nchini Rwanda.

Nchini Uganda, virusi hivyo vimegunduliwa katika ndege wa porini wanaohama, bata wanaofugwa na kuku.
Hii ni mara ya kwanza kwa mlipuko wa ugonjwa huo kutokea nchini Uganda.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments