Mashindano la MissRwanda2017 yaanza mikoani

Katika wikendi hii mkoani kasikazini mwa Rwanda wanadada 6 watakaowakilisha mkoa wa kasikazini kwenye shindano la Miss Rwanda 2016 wamechaguliwa.

Wanadada wataowakilisha mkoa wa kasikazini katika mashindano ya ulimbwende ni Mukunde lorette,Mutangana Diane,Umutesi Winnie, Umwali Aurore, Umutoni Josiane na Uwimbabazi Adeline.

Hawa waliochaguliwa watashindana na wengine watakaowakilisha mikoa mitatu na mji wa Kigali kwenye kiwango cha taifa ili tujue ni nani atakayechukua taji la urembo linalo milikiwa na Umutesi Jolly.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments