Takriban vijana 70,000 wamehudhuria elimu ya kiraia.

Rucagu Boniface
Vijana 68,560 waliohitimu mashule ya sekondari wamekusanyika katika vituo mbalimbali nchini tangu jumamosi iliyopita kwa kuanza elimu ya kiraia kwa mujibu wa BonIface Rucagu ambaye ni mkuu wa tume ya Itorero ry’igihugu(NIC).

Akiongea na gazeti la The newtimes, Bw Rucago alisema kwamba hawa vijana wataelimishwa utamaduni wa wanyarwanda kwa muda wa wiki moj kama kawaida.

Yeye alisema kuwa haya masomo yanapewa vijana kwa sababu ya kuchemsha uzalendo na Unyarwanda katika vijana wa kizazi kipya.

Rucagu alibaini kwamba hii elimu ya kiraia huzaa matunda muhimu kwa kukumbusha vijana kuwa ni wao wanaopswa kujijengea taifa lao.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments