Balozi wa Rwanda amewasilisha hati za utambulisho nchini Indonesia

Guillome Kavaruganda anayewakilisha Rwanda nchini Singapore aliwasilisha hata za utambulisho kwa Joko Widodo (rais wa Indonesia) jana siku ya Alhamisi inayomruhusu kuwakilisha Rwanda nchini Indonesia.

Katika mkutano wa faragha, Kavaruganda alishukuru mahusiano yaliopo kati ya Rwanda na alihimiza kuimarisha zaidi.

Katika tukio hilo la kuwasilisha hati za utambulisho lililofanyika katika ikulu ya Indonesia iliyopo mjini Astana, Kavaruganda alikuwa pamoja na mabalozi wa Marekani, Ufaransa, Visiwa vya Marshall, Bangladesh, Morocco na Ureno.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments