Rwanda na Italy wamesaini mkutaba wa ushirikiano katika shughuli za majeshi ya polisi

Katika tukio lililofanyika mjini Roma mwezi Januari, 12, 2017, Nchi ya Rwanda na Italy wametia saini kwenye mkataba wa ushirikiano katika shughuli za majeshi ya polisi.
Makubaliano hayo yatasaidia kushiriki masomo ya kipolisi na kujenga majeshi yenye nguvu baina ya mataifa mawili.

IGP Emmanuel Gasana, aliyewakilisha Rwanda katika tukio, alisema kwamba hii ni dalili inayoonesha ahadi kati ya mataifa mawili kwa kuimarisha ushirikiano na kushiriki uzoefu kwa watumishi wao.

Makubaliano yamesainiwa na IGP Emmanuel Gasana kwa niaba ya Rwanda na mwenzake wa Italy Jenerali Tullio del sette

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments