Rais Paul Kagame akutana na waziri mkuu wa India

Rais Paul Kagame akipeana mkono na Narendra Mondi
Rais Paul Kagame amekutana na Mhe. Narendra Mondi ambaye ni waziri mkuu wa Uhindi ambapo yeye alipowasili kwa kuhudhuria mkutano wa Vibrant Global Summit unaofanyika kwa mara ya 8..

Katika mkutano wa faragha, wao wametia saini kwenye makubaliano ya ushirikiano baina ya nchi mbili.

Katika mkutano unaotarajiwa kuongozwa na Narendara Mondi, Paul Kagame atakuwa pamoja na viongozi kadhaa wakiwemo waziri mkuu wa Serbia, Bw Aleksandar Vicic, Uhuru Kenyatta, Antonio Costa, waziri mkuu wa Ureno, Dmitry Rogozin, naibu waziri mkuu wa Urusi na waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa Bw Jean Marc Ayrault.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments