Kigali : Polisi imekamata wezi watano

Polisi imekamata kundi la watu watano wanaodaiwa kuiba Kompyuta sita, televisheni na spika tano katika shule ya teknolojia ya GS Nzove, mjini Kigali, Wilayani Nyarugenge.

Msemaji wa polisi mjini Kigali, SP Emmanuel Hitayezu amethibitishwa kukamatwa kwa hawa wezi na aliyongeza kwamba wao wamepelekwa kituoni cha polisi cha Kigali.

Iwapo hawa watu kukutwa na hatia, wao watahukumiwa kifungo kutoka miezi sita hadi miaka miwili na adhabu ya mara mbili hadi tano ya bei ya vilivyo ibiwa ; kwa mijubu wa kitabu cha sheria.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments