Bei ya mafuta yapanda

Mamlaka ya kudhibiti bei nchini Rwanda (RURA) imetangaza kuwa bei ya mafuta imepanda hadi Rwf970 kutoka Rwf 932 kwa lita.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na RURA, Meja Jenerali Patrick Nyirishema amesema kuwa bei mpya inaanza kutumika leo hii ya Jumatano.

Hii inamaanisha kuwa bei ya petrol imeongezeka kwa Rwf22 na diesel Rwf 18 kwa lita.

Ingawa ya bei ya mafuta kupanda, RURA inasema kwamba bei haitaathiri bei ya kusafiri kwa umma.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments