Bugesera : Polisi inachunguza kifo cha Nyiradende

IP Emmanuel Kayigi, msemaji wa pilisi katika mashariki mwa Rwanda.

Polisi wilayani Bugesera, mashariki mwa Rwanda imesema kuwa inachunguza cha kifo cha Nyiradende,48, ambaye mwili wake ulipatikana jumatatu nyumbani kwake.

Emmanuel Kayigi, msemaji wa polisi mkoani humo, amesema kuwa wao bado wanamtafuta Mugabo Bizimana anayedaiwa kuhusika na kifo cha mama huyo.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments