Zaidi ya Viongozi 20 wa ngazi za chini wamejiuzulu, Bugesera

Nsanzumuhire Emmanuel, meya wa wilaya ya Bugesera, mashariki mwa Rwanda

Angalau makatibu mtendaji 20 wa kataa, maafisa watano wanaoshughulikia ustawi wa jamii na maafisa kumi wa mifugo wametangaza kujiuzulu wilayani Bugesera, mashariki mwa Rwanda.

Emmanuel Nsanzumuhire, meya wa Bugesera, amethibibitisha habari hii na ameongeza kuwa hao wote waliojiuzulu walisema kuwa ni kwa sababu zao binafsi.

Emmanuel anasema kuwa hivi sasa hawajatangaza idadi kamili ya walioacha kazi.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments