Mtu mmoja amekufa na wengine watano kujeruhiwa katika ajali.

Hii Asubuhi ya Alhamisi watu watano wamejeruhiwa na mmoja kuaga dunia kwa kugongwa na gari katika tarafa la Nyamirambo, wilayani Nyarugenge.

Mashuhuda wanasema kuwa gari aina ya Toyota corolla imekosa breki kisha ikawagonga wendesha bodaboda wawili na mzee mmoja waliokuwa karibu na barabara.

Mwandiishi wa igihe.com anatangaza kuwa Polisi imeshatia nguvuni watu wawili waliokuwa katika gari hilo na mmoja kutoroka na waliojeruhiwa wamepelekwa hospitalini ya CHUK mjini Kigali.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments