Rayon Sports yamsajili Mugabo Gabriel

Rayon Sports imetangaza kumsajili kwa miaka miwili Mugabo Gabriel aliyekuwa beki wa Police FC.

Gabriel amesainiwa na Rayon baada ya siku chache akitimuliwa na Police Fc kwa makosa ya nidhamu.

Gakwaya Olivier, katibu mkuu wa Rayon Sports ameambia wanahabari kwamba wamemsajili Mugabo kwa kuziba pengo lililoachwa na mabeki waliojeruhi.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments