Mjumbe wa Rwanda nchini Cyprus atoa barua ya stakabadhi.

Kanali Joseph Rutabana anayewakilisha Rwanda nchini Israel, jana alitoa barua ya stakabadhi kwa Nico Anastasiades, Rais wa Cyprus,inayomruhusu kuwa balozi wa Rwanda nchini humo.

Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na serikali ya Rwanda inasema kuwa sababu ya kuwakilishwa kwa Rwanda nchini Cyprus ni kuimarisha urafiki baina ya mataifa mawili.

Anastasiades alishukuru uteuzi wa Rutabana kama balozi nchini mwake na kumtakia mafanikio.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments