Idadi ya waliofarika kwa kunywa sabuni Urusi yafikia 58

Maji ya sabuni yaliotumika
Idadi ya watu waliofariki baada ya kunywa sabuni wakidhania ni pombe imefikia watu 58 kutoka 49 kulinga na vyombo vya habari nchini Urusi.

Wengi wa watu 37 walioathirika bado wanaendelea kutibiwa huku wengine wakiwa katika hali mahututi.

Raia hao walikunywa maji ya sabuni yaliokuwa na sumu kali wakidhania ilikuwa pombe kulingana na kamati ya uchunguzi ya Urusi .

Lakini maji hayo yalikuwa na kemikali ya Ethanol inayoweza kusababisha upofu.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments