Mke ametiwa nguvuni kwa makosa ya uhaini , Rwamagana.

Polisi ya mkoa wa mashariki mwa Rwanda inatangaza kutia nguvuni mke anayeshitakiwa kushiriki mauaji ya mmewe aliyechinjwa jana.

Ndabateze alichinjwa kwa panga wakatib alipokuwa pamoja na mkewe nyumbani. IP Emmanuel Kayigi aliliambia shirika la habari la Rwanda RBA kuw mke huo anatuhumiwa makosa ya uhaini.

IP Emmanuel aliongeza kuwa mke huo hivi sasa aliswekwa kutuoni cha polisi kilichoko tarafani Nzige wilayani Rwamagana.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments