APR FC yatupwa nje ya mashindano Congo Brazaville

APR FC iliyokuwa ikiwakilisha nchi ya Rwanda katika mshindano ya kabumbu ambayo anayoendelea kufanyika nchini Congo Brazaville imetupwa nje baada ya kufungwa na Kondzo FC kwa mikwaju ya penati baada ya dakika 90 za mchezo kumalizika kwa sare.

APR FC imerudi nyumbi na alama moja mikononi wakati CARA FC na Kondzo FC zilizokuwa pamoja na APR FC kundini zimetinga nusu fainali yahaya mashindano ya kirafiki.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments