Kavaruganda ateuliwa kuwa balozi wa Rwanda nchini Australia

Bw Guillome Kavaruganda ndiye aliyeteuliwa kuwa balozi wa Rwanda nchini Australia ingawa yeye atakuwa makao makuu yake nchini Singapore.

Jana alhamisi ndipo alipopeleka baraua ya stakabadhi kwa Sir Peter Cosgrove mjini Canberra.

Katika mazungumzo yaliyofanyika faragha mjini humo, Lucas Murenzi , msimazi wa biashara katika ubalozi , ameliambia gazeti la The newtimes kuwa wao wamejadili uimarishaji wa urafiki baina ya mataifa mawili.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments