Katibu mtendaji wilayani Gicumbi ajiuzulu

Katibu mtendaji wa wilaya ya Gicumbi iliyoko kasikazini mwa Rwanda ametangaza kujiuzulu.

Fidele Byiringiro ametuma barua ya kujiuzulu akisema kuwa ni kwa sababu binafsi kama vilivyotangazwa na Mudaheranwa Juvenal ambaye ni meya wa wilaya hiyo.

Licha ya kutangaza kujiuzulu, Juvenal amesema kwamba Fidele ametangaza kujiulu baada ya muda mrefu akihusishwa na makosa yaliyotokea katika utoaji wa masoko ya serikali.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments