Knowless apata mtoto wa kike.

Mwanamziki maarufu wa kike nchini Rwanda Butera Knowless amejifungua mtoto wa kike baada ya miezi mitatu tu akifunga ndoa na Clement Ishimwe ambaye ni meneja wake.

Jana Jumatatu ndipo habari zilisambaa mitandaoni baada ya yeye kupost picha kwenye instagram akiwa na mtoto nyumbani kwake.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments