Rwanda yapata ndege mpya kutoka Marekani

Jana jioni shirika la RwandAir limeipokea ndege mpya aina ya Boeing 737-800NG iliyotajwa jina la Kalisimbi kutoka Marekani baada ya kupita njiani ya Athens nchini Ugiriki kabla ya kutua Rwanda.

Ndege hii ilitua uwanjani wa ndege Kanombe jana leo ya jumatano tarehe 17, novemba, 2016 ambapo ilipopokewa kwa furaha na shangwe nyingi.

RwandAir limesema kwamba ujio wa Boeing hii ni hatua kubwa iliyopigwa kwa kuimarisha huduma za anga.

Hii ndege ya aina Boeing imefikishwa nchini Rwanda kufuatiai ndege nyingine aina ya Airbus 330-200 iliyotua uwanjani Kanombe mwezi Agosti uliopita.

Ndege hiyo ya kifahari ina uwezo wa kubeba abiria kati ya 150 na 180

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments