Kagame akutana na Mfalme Muhammed VI wa Morocco

Rais Paul Kagame amekutana jioni ya jana na Mohammed VI wa Morocco nchini mwake.

Kagame yuko Morocco ambapo alipoenda mjini Marrakech kwa kuhudhuria mkutano wa COP22 unaolenga kujadili masuala yanayosababisha mabadiliko ya anga.

Nchini Morocco, Rais Paul Kagame yuko pamoja na mkewe Janet Kagame na Louise Mushikiwabo ambaye ni waziri wa mambo ya nje na ushirikiano.

chini ya mada hiyo hiyo

Rais Kagame na mkewe wako mjini Marrakech, Morocco

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments