Orodha ya washindi wa tuzo za GrooveAwards 2016

Jumapili mwishoni mwa wiki jana, washindi wa tuzo za GrooveAwards 2016 zinazopewa waandishi wa habari, wasanii wa nyimboza injili na wadau wa injili wametangazawa.

Washindani walikuwa katika makundi 13 yakiwemo waimbaji, wapiga densi za injili, kwaya, wanahabari na kadhalika.

Hii ndio orodha ya washindi

1. Muimbaji wa mwaka : Albert Niyonsaba
2. Muimbaji wa kike wa mwaka : Pastor Grace Ntambara
3. Kwaya wa mwaka : Gisubizo Ministries
4. Muimbaji mpya wa mwaka : Arsene Tuyi
5.wimbo wa mwaka : Amfitiye byinshi wa Gisubizo
6. Wimbo bora wa ibada : Amfitiye byinshi wa Gisubizo
7. Wimbo bora wa Hiphop : Yesu ni Umwami ya MD
8.Vedeo bora : Arankunda wa Gaby Kamanzi
9. Wapiga densi wa mwaka : Shining Stars
10. Shoo ya mwaka kwenye redio : Gospel Magic Mix ya Magic Fm
11.Mtangazaji bora (Redio) : Ange Daniel Ntirenganya
12. Outstanding contributor : Alain Numa (MTN)
13 : Mwaandishi bora : Nelson Mucyo
14. Mtayarishaji bora : Haragakiza Justin
15. Muimbaji bora anayeishi ugenini : Adrien Misigaro (USA)
16.MTN Caller ringtone : Thacien Titus
17. Watu 3 wenye vipaji bora vya kuimba (Gifted voices) : Clarisse Mugeni, Sam Rwibasira na Yves Chris Mutabazi

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments