Magufuli ampongeza Trump

Rais wa Tanzania John Magufuli ameandika ujumbe kwenye Twitter akimpongeza rais mteule wa Marekani.

Ameahidi kwamba Watanzania wataendeleza urafiki na Marekani.

‘’Hongera Rais-Mteule na raia wa Marekani kwa uchaguzi wa kidemokrasia, ninawahakikishia kuwa watanzania wataendelea kuimarisha urafiki na Marekani.’’ Magufuli ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments