Trump ashinda uchaguzi Marekani

Trump ndiye mgombea urais wa Marekani aliyechaguliwa kuidhibiti White House kama rais wa wamarekani.

Trump amekuwa akichuana vikali na Hillary Clinton, lakini Hatimaye Trump amemshinda kwa kishindo cha wajumbe 276 wakati Clinton amepiga msururu wa wajumbe 218.

Trump amechaguliwa kwa asilimia 48 wakati Hillary amechagulia na wapiga kura asilimia 47.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments