Claudine Talon atoa heshima kwa wahanga wa mauaji ya kimbari ya Rwanda.

Jana Jumanne, Mke wa Rais wa Benin, Bi Claudine Gbenagnon Talon ametembelea makaburi ya wahanga wa mauaji ya kimbari dhidi ya raia wa kabila la Kitutsi aliopo katika maeneo ya Gisozi mjini Kigali.

Huko Gisozi Bi Claudine Talon ametoa heshima kwa wahanga 250 elfu wanaolazwa kaburini.

Katika makumbusho ya mauaji ya kimbira, Claudine alipokuwa pamoja na waziri wa michezo na utamaduni wa Rwanda, Uwacu Julienne na mkurugenzi wa makumbusho ya Gisozi, Bw Honore Gatera.

Yeye alielezewa historia ya kikoloni ambayo ilikuwa chanzo cha mauaji ya kimbari aliyosababisha visa vya watutsi zaidi ya milioni.Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments