Majonzi kambi ya Clinton, shangwe kwa Trump

Moja kwa moja nchini Marekani, Wamarekani wanajichagulia rais atakayewaongoza miaka mine ijayo kati ya Bi Hillary Clinton anayewakilisha chama cha Democrats na Donald Trump anayewakilisha chama cha Republican.

Matokeo yanayotufikia hivi punde anaonesha kuwa Donld Trump anakaribia kushinda. Donald Trump yuko mbele na kura 266 wakati Clinton yuko nyuma na kura 218.

Hii inamaana kwamba Trump anahitaji kura nne ili apate kiti cha urais wa Marekani.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments